Sunday, August 3, 2008

habari

ndugu zangu na marafiki zangu hii ni blogg yenu itakuwa ikiwaletea habari za burundi na east africa kwa ujumla kuhusu michezo, habari za udaku, na habari za ma star wa Burundi na east africa pia na maisha burundi kwa ujumla. hii blogg sio ya kisiasa ni ya jamiii. please dont write about pilitics.
kama unahabari yeyote au party wewe niandikia na mimi nitairusha hewani.
ni mimi kizito de sweden.

No comments: